Baba Levo alitangazwa mbunge wa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akimshinda mpinzani wake kutoka ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe. Hata hivyo, wananchi wanne, Johary Kabourou, Loum Mwitu, Pendo ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema jumla ya watahiniwa 124,603 sawa na asilimia 99.56 wamepata ufaulu mzuri wa daraja kwanza hadi la tatu. Kati ya watahiniwa hao wengi ...
Brazil imeaga fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kufungwa mabao 2-1 na Norway katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa kwenye Uwanja wa New York/New Jersey, Marekani. Baada ya kipindi cha ...
Moshi. Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi anayemiliki kampuni ya ujenzi, Bosco Chuwa, amefariki dunia asubuhi ya leo Jumapili Julai 5,2026, huku familia yake ikikanusha uvumi ulioenea kuwa alifia ...
Kutoka kushoto, Anthony Mtaka, Henry Tandau na Leonard Thadeo waliokuwa wakichuana kusaka urais wa TOC. Dar es Salaam. Hali ya sintofahamu imeibuka kwenye uchaguzi w Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) ...
Dar e salaam. Dakika 40 tu zimetosha kubadilisha hali ya hewa ya Jangwani jijini Dar es Salaam, baada ya Simba kufanya paredi la kusherehekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB ambapo msafara wao ...
Dar es Salaam. Wao si walipanda fuso? Ndilo lilikuwa swali lililotawala midomoni mwa maelfu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kuipokea timu hiyo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ...
Mbeya. Kampuni za ndani zinaendelea kupoteza zabuni kubwa kwa wawekezaji wa kigeni, hususan kampuni kutoka China, kutokana na gharama kubwa za mikopo, imeelezwa. Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki ...
Dar es Salaam. Zaidi ya wakimbiaji 300 kutoka klabu zaidi ya 20 za wakimbiaji jijini Dar es Salaam wameshiriki mbio maalum za barabarani zilizoandaliwa kwa ajili ya kuadhimisha miaka 50 ya Mamlaka ya ...
Simba imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya leo Jumamosi, Julai 4, 2026 kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika Uwanja wa Gombani, Pemba. Bao pekee lililoipa Simba taji ...
Rais wa Msumbiji, Daniem Chapo (kushoto) akimkabidhi tuzo mwakilishi wa GF Trucks kama mshindi wa jumla katika maonyesho ya 50 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba) kama banda lililoongoza ...
Dar es Salaam. Wakati baadhi ya mikoa ya Tanzania ikiendelea kushuhudia hali ya baridi katika kipindi hiki cha msimu wa mwaka, mataifa ya Ulaya yanakabiliwa na athari mbaya za wimbi la joto kali ...