Renew subscription Maybe later Hello Renew subscription Maybe later Subscribe for a month to get full access ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema jumla ya watahiniwa 124,603 sawa na asilimia 99.56 wamepata ufaulu mzuri wa daraja kwanza hadi la tatu. Kati ya watahiniwa hao wengi ...
Baba Levo alitangazwa mbunge wa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akimshinda mpinzani wake kutoka ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe. Hata hivyo, wananchi wanne, Johary Kabourou, Loum Mwitu, Pendo ...
Dar e salaam. Dakika 40 tu zimetosha kubadilisha hali ya hewa ya Jangwani jijini Dar es Salaam, baada ya Simba kufanya paredi la kusherehekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB ambapo msafara wao ...
Dar es Salaam. Wao si walipanda fuso? Ndilo lilikuwa swali lililotawala midomoni mwa maelfu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kuipokea timu hiyo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ...
Mbeya. Kampuni za ndani zinaendelea kupoteza zabuni kubwa kwa wawekezaji wa kigeni, hususan kampuni kutoka China, kutokana na gharama kubwa za mikopo, imeelezwa. Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki ...
Kutoka kushoto, Anthony Mtaka, Henry Tandau na Leonard Thadeo waliokuwa wakichuana kusaka urais wa TOC. Dar es Salaam. Hali ya sintofahamu imeibuka kwenye uchaguzi w Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) ...
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikisherehekea paredi la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya tano mfululizo, mashabiki wa Simba wamezidi kujifariji kwa bao lililofungwa na nyota wa kikosi hicho, Clatous ...
Rais wa Msumbiji, Daniem Chapo (kushoto) akimkabidhi tuzo mwakilishi wa GF Trucks kama mshindi wa jumla katika maonyesho ya 50 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba) kama banda lililoongoza ...
Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kalenda ya mechi za msimu wa 2026/27 wa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Katika mashindano hayo Tanzania itawakilishwa ...
Geita. Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limethibitisha kumshikilia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Geita, Neema Chozaire ambaye awali aliripotiwa kutoweka baada ya ...
Ni baada ya serikali ya kijeshi ya nchi hiyo kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za ofisi hiyo, hatua iliyosababisha taasisi hiyo kukosa uwezo wa kuendelea na kazi zake za ufuatiliaji, uchambuzi ...