Baba Levo alitangazwa mbunge wa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akimshinda mpinzani wake kutoka ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe. Hata hivyo, wananchi wanne, Johary Kabourou, Loum Mwitu, Pendo ...
Kutoka kushoto, Anthony Mtaka, Henry Tandau na Leonard Thadeo waliokuwa wakichuana kusaka urais wa TOC. Dar es Salaam. Hali ya sintofahamu imeibuka kwenye uchaguzi w Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) ...
Mbeya. Kampuni za ndani zinaendelea kupoteza zabuni kubwa kwa wawekezaji wa kigeni, hususan kampuni kutoka China, kutokana na gharama kubwa za mikopo, imeelezwa. Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki ...
Wakulima wa zao la kahawa wa kikundi cha Uhai Uzena kilichopo Wilayani Mbinga wakionesha mbegu bora za zao hilo walizootesha kwenye kitalu chao walipotembelewa na maofisa pamoja na wataalamu wa kilimo ...
Simba imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya leo Jumamosi, Julai 4, 2026 kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika Uwanja wa Gombani, Pemba. Bao pekee lililoipa Simba taji ...
Rais wa Msumbiji, Daniem Chapo (kushoto) akimkabidhi tuzo mwakilishi wa GF Trucks kama mshindi wa jumla katika maonyesho ya 50 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba) kama banda lililoongoza ...
Dar es Salaam. Kamati Kuu Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, imeridhia mwendelezo wa mazungumzo na makubaliano ya kufikia mwafaka kati ya chama hicho na ACT-Wazalendo, ...
Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kalenda ya mechi za msimu wa 2026/27 wa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Katika mashindano hayo Tanzania itawakilishwa ...
Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa ...
Ni baada ya serikali ya kijeshi ya nchi hiyo kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za ofisi hiyo, hatua iliyosababisha taasisi hiyo kukosa uwezo wa kuendelea na kazi zake za ufuatiliaji, uchambuzi ...
Ofisa Masoko wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Madeline Shaidi akionyesha jinsi wananchi wanavyoweza kudhibiti matumizi ya umeme katika nyumba zao nyumba kwa kutumia programu za simu za mkononi ...
Dar es Salaam. Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeitoza Klabu ya Yanga, faini ya Sh100 milioni baada ya kubainika kuwa wachezaji na benchi la ufundi walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja badala ya ...