Kupata mshahara, kuwekeza au kuweka akiba, gharama, madeni, mali, kujaribu kudumisha utajiri kama upo... maisha ya mwanadamu kawaida yanazunguka haya. Brian Tracy, mtaalam wa masomo ya kifedha nchini ...